HSS Mfumo POS Tanzania Offline kwa Maduka Anza Bure
HSS ndio mfumo bora wa POS Tanzania kwa maduka ya vifaa, nguo, electronics na zaidi. Rekodi mauzo offline, fuatilia hesabu, dhibiti madeni na gharama. Hadi siku 30 bure. Inafanya kazi Dar es Salaam, Arusha, Mwanza, Zanzibar na Tanzania nzima.