Wakati watu milioni 811 wanalala njaa, dunia inapoteza asilimia 17% ya chakula inachozalisha:UN | Habari za UN
Ukosefu wa chakula, njaa na utapiamlo huathiri kila nchi duniani, hakuna iliyonusurika. Duniani kote watu milioni 811 wanateseka na njaa, bilioni 2 wanakabiliwa na upungufu wa lishe inayohitajika, yaani vitamini na madini, na mamilioni ya watoto wanakabiliwa na tatizo la kudumaa na kupoteza uzito, aina mbaya za utapiamlo, amesema mkurugenzi ...
news.un.org
没有更多结果了~
- 意见反馈
- 页面反馈