Watoto wengine zaidi ya 200 waachiliwa na waasi Sudan Kusini:UNICEF | Habari za UN
Katika hafla maalumu ya zoezi hilo , watoto walipokonywa silaha na kukabidhiwa mavazi ya kiraia , sasa hatua inayofuata ni kufanyiwa vipimo vya kitabibu, kupatiwa ushauri nasaha na msaada wa kisaikolojia kama sehemu ya kuwarejesha tena katika maisha ya kawaida, mpango unaoendesha na shirika la UNICEF na washirika wengine. Watoto h...
news.un.org
没有更多结果了~
- 意见反馈
- 页面反馈